JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji134] [emoji134] [emoji135]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Basi usilie nilikua natania tu, ujue hakuna Mwl. Mwenye moyo wa kuona unaelewa kama mimi? Ndio maana nakutafutia angalau walimu wapya kila siku[emoji40] [emoji125]
 
Bwana eee baki na mwanafunzi wako jje's mi sitaki uwe mwl wangu....unafundisha vitu vigumu ambavyo mwl.wangu hajanizoeza [emoji144] [emoji144] [emoji144]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hii ni silabasi mpya inaendana na nchi ya Viwanda
 
Back
Top Bottom