[emoji23] [emoji23] [emoji23] kila mtu na sababu yake mkuu7bu za kutokulala huu Uzi itakua ni stress za ndoa kwa waliooa
wewe ya kwako ni ipi mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] kila mtu na sababu yake mkuu
Hakuna 7bu zaidi ya unyumba kuna ndoa zngne kupewa unyumba mpk ujieleze kama director TPA[emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] kila mtu na sababu yake mkuu
si unajua kule hakuna njia ya mkato? Laziama upitie njia hii hii ilozoeleka!Nakosaje kwenda sasa kwa mfano?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh! Kumbe nyumba zinaficha mengi eeh!Hakuna 7bu zaidi ya unyumba kuna ndoa zngne kupewa unyumba mpk ujieleze kama director TPA[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mimi ni jobless,nalalaga mchana kutwa hivyo usiku nakosa usingizi,ndio maana nakeshaga hapawewe ya kwako ni ipi mkuu
Usione watu kodo mida hiii ukajua tuko sawa tunapambana na hali zetu mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh! Kumbe nyumba zinaficha mengi eeh!
Poleni sana,ila kama mnanyimwa u-nyumba jaribuni u-chumba [emoji12] [emoji12] [emoji12]Usione watu kodo mida hiii ukajua tuko sawa tunapambana na hali zetu mkuu.
[emoji28] [emoji2] [emoji3] [emoji1] hapo ndo nawazaga sana ndoa?Poleni sana,ila kama mnanyimwa u-nyumba jaribuni u-chumba [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Unaiwazaje?[emoji28] [emoji2] [emoji3] [emoji1] hapo ndo nawazaga sana ndoa?
Ina mambo mengi sanaUnaiwazaje?
Ina mambo mengi sanaUnaiwazaje?
Nijichanganye halafu baadae nijichambue, shida yote hiyo ya nini!!Jichanganye tu,kwani mimi na wewe tulikuwa tunafahamiana?
Kwa mfano usipokufa utaendaje?Nakosaje kwenda sasa kwa mfano?
Ni sahihisi unajua kule hakuna njia ya mkato? Laziama upitie njia hii hii ilozoeleka!
Kumbe hata hujaiingia ila unaiogopa bure. Woga wako ndio umaskini wako [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ina mambo mengi sana
Kwahiyo wewe huongeagi na usiowajua?Nijichanganye halafu baadae nijichambue, shida yote hiyo ya nini!!
Mimi nitajaribu u-sebuleniPoleni sana,ila kama mnanyimwa u-nyumba jaribuni u-chumba [emoji12] [emoji12] [emoji12]