JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kumbe ndo maana kila siku unatwambia umelala kwenye sofa, unakuwa umenyimwa u-chumba? [emoji12] [emoji12]
Thad mwanafunzi umeamua kumuchafua Mwl kiasi hicho[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Thad mwanafunzi umeamua kumuchafua Mwl kiasi hicho[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwl.kajiumbua mwenyewe kuwa atajaribu u sebule,mimi nilichokifanya ni kuunganisha vidotidoti tu....
 
Jaman Mimi naanza kulala mkikutwa na mkubwa we dar msimlaumu, muda wa kulala mnaujua.
Huyo mkubwa wenu anawaharibu mjue,mnalalaje mapema yote hii kwani nyie ni kuku? [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sisi wa mikoani tunakesha kama kawa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwl.kajiumbua mwenyewe kuwa atajaribu u sebule,mimi nilichokifanya ni kuunganisha vidotidoti tu....
Jamani muache Mwl apambane na hali yake, na ukatili wenu nikiwapa adhabu mnaniletea frustration tu.

Yaani mwanafunzi hajui kuinama na kushika masikio[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Back
Top Bottom