na mimi ni moneyless uwe unakuja tulale wote mchanaMimi ni jobless,nalalaga mchana kutwa hivyo usiku nakosa usingizi,ndio maana nakeshaga hapa
Anaweza kunyakuliwa kama EliyaKwa mfano usipokufa utaendaje?
Kufa ni lazima mkuuKwa mfano usipokufa utaendaje?
Naongea nao, kwa niliyezoeana naye inakuwa bora bin zaidiKwahiyo wewe huongeagi na usiowajua?
Acha niwe maskin tu mkuuKumbe hata hujaiingia ila unaiogopa bure. Woga wako ndio umaskini wako [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ni sahihi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Anaweza kunyakuliwa kama Eliya
Kumbe ndo maana kila siku unatwambia umelala kwenye sofa, unakuwa umenyimwa u-chumba? [emoji12] [emoji12]Mimi nitajaribu u-sebuleni
Thad mwanafunzi umeamua kumuchafua Mwl kiasi hicho[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kumbe ndo maana kila siku unatwambia umelala kwenye sofa, unakuwa umenyimwa u-chumba? [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mpanda ngazi na mshuka ngazi katu hawashikani mikono,we mwenzangu una job ila tu ni moneyless, wakati mimi sina vyote viwilina mimi ni moneyless uwe unakuja tulale wote mchana
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Kufa ni lazima mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwl.kajiumbua mwenyewe kuwa atajaribu u sebule,mimi nilichokifanya ni kuunganisha vidotidoti tu....Thad mwanafunzi umeamua kumuchafua Mwl kiasi hicho[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huyo mkubwa wenu anawaharibu mjue,mnalalaje mapema yote hii kwani nyie ni kuku? [emoji12] [emoji12] [emoji12]Jaman Mimi naanza kulala mkikutwa na mkubwa we dar msimlaumu, muda wa kulala mnaujua.
Umekuja nao niahrishe kulala?Mnafanya nini now wadau... Inamaana hamna wachumba?
Hatuna wachumba tuna wasebule na wanyumba [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mnafanya nini now wadau... Inamaana hamna wachumba?
We demu ama dume nikupigie video callUmekuja nao niahrishe kulala?
Jamani muache Mwl apambane na hali yake, na ukatili wenu nikiwapa adhabu mnaniletea frustration tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwl.kajiumbua mwenyewe kuwa atajaribu u sebule,mimi nilichokifanya ni kuunganisha vidotidoti tu....
Ukiona jibu pigia mstari endelea na swali lingine.Mnafanya nini now wadau... Inamaana hamna wachumba?
CjaonAga demu anaitwa chiefWe demu ama dume nikupigie video call