JamiiForums Usiku wa manane

[emoji15] [emoji15] [emoji15] mpanda ngazi na mshuka ngazi katu hawashikani mikono,we mwenzangu una job ila tu ni moneyless, wakati mimi sina vyote viwili
nitakua kazi yako[emoji6] na wewe utakua kazi yangu[emoji4]
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Ndugu kama uko macho usifumbe hata kidogo huu ndo mda wa wachawi kufanya yao

Watakuchezea wanavyotaka na kukugeuza geuza wanavyotaka

Huu ndo mda wa kwenda kujenga maghorofa ya watu usilale bora tu uchukue biblia yako usome au quran yako usome

Usilale mdau

Mimi nimezaliwa familia ya kichawi kwahiyo najua mbinu zote za wachawi

Huu ndo mda wale walioa hubak na fisi kitandan na wake zao huenda kwenye uloz

LONDON BABY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…