Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hi04:38
Pole sanaNina mwaka na miezi 2 sijacheck afya....safari hii naona sitoboi ngoja niende tu hospital....maana naona mwli pia wapata joto ☹️
Barikiwa sana man,ndiyo nasubiri kukuche kidogo niende.Asante sana🙏🏽Pole sana
Wahi hospitali upate tiba sahihi
Nakuombea upate nafuu mapema
Wengine tuko likizo02:17 Walinzi wengine waoga tu
Hata Full Blood Picture hufanyagi ?duhNina mwaka na miezi 2 sijacheck afya....safari hii naona sitoboi ngoja niende tu hospital....maana naona mwli pia wapata joto ☹️
Uko vzrBarikiwa sana man,ndiyo nasubiri kukuche kidogo niende.Asante sana🙏🏽
Hahaha, mkuu wa idara sijaona taarifa hiyo. HahahaWengine tuko likizo
Hii likizo imetoka juu ..kuwa niwe likizo kwa muda kipindi hiki cha msiba ..niko ktk majukumu mengine ya ki ulinzi mpk pale wakubwa watakapoamua nirudi lindo la usiku😄😄Hahaha, mkuu wa idara sijaona taarifa hiyo. Hahaha
Hahaha, nime Elewa mkubwa kiufupi ni maelekezo kutoka idara nyeti.Hii likizo imetoka juu ..kuwa niwe likizo kwa muda kipindi hiki cha msiba ..niko ktk majukumu mengine ya ki ulinzi mpk pale wakubwa watakapoamua nirudi lindo la usiku😄😄
Sweet Mlinzi mwenzagu 🤓, Jana niliona Nika hisi labda ni coincidence tu.Sir Jobless Intelligent businessman 🤣
Shiiiiii bado wakili wangu anapambana juu ya uhalali wa kifungo 🤣 🤣Sweet Mlinzi mwenzagu 🤓, Jana niliona Nika hisi labda ni coincidence tu.
Still naona some touch of madness yako🤓😆🤣🤣Shiiiiii bado wakili wangu anapambana juu ya uhalali wa kifungo 🤣 🤣
🤣 Sure. but tell her she gonna suffer, i mean it she will suffer damn 🤣🤣 No expiration time for being disrespectedStill naona some touch of madness yako🤓😆🤣🤣