JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hii likizo imetoka juu ..kuwa niwe likizo kwa muda kipindi hiki cha msiba ..niko ktk majukumu mengine ya ki ulinzi mpk pale wakubwa watakapoamua nirudi lindo la usiku😄😄
Hahaha, nime Elewa mkubwa kiufupi ni maelekezo kutoka idara nyeti.

Natumai mkubwa wa kambi ana endelea vyema.
 
Back
Top Bottom