Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,143
Sisi tupo mkuu
ahaaa nikajua bado mnamalizia mambo yenu,,, enwei karibuu tuendelee na lindo tuwasubir wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tupo mkuu
Haha mambo yetu yapi tena?ahaaa nikajua bado mnamalizia mambo yenu,,, enwei karibuu tuendelee na lindo tuwasubir wengine
Haha mambo yetu yapi tena?
ushawahi kuona uvivu kulala?muanze kujongea sasa
hutaki au😂Nimetulia hapa nasikia gari la matangazo
"Wanawake tunawezaa tunawezaa" kumbe wanajiandaa na siku yao😂
Hayo mambo hapana mkuu tupo kwenye mfungo 🙈[emoji38][emoji38][emoji38] hata sijui nacheka nni,,, mambo hayo hayo ulokua unamalizia
ushawahi kuona uvivu kulala?
Wanaupiga mwingiNimetulia hapa nasikia gari la matangazo
"Wanawake tunawezaa tunawezaa" kumbe wanajiandaa na siku yao😂
Hayo mambo hapana mkuu tupo kwenye mfungo [emoji85]
unapenda kulala na unakesha?hapan sijawahi maan napenda sana kulala, labda kula ndo huwa napat uvivu mda mwingine
Nimetulia hapa nasikia gari la matangazo
"Wanawake tunawezaa tunawezaa" kumbe wanajiandaa na siku yao[emoji23]
unapenda kulala na unakesha?
Tarehe 8 siku ya wanawake ety😂siku ipi tena
A wapii😂Wanaupiga mwingi
Makelele kusumbua watu usiku😂😕hutaki au😂
Tarehe 8 siku ya wanawake ety[emoji23]
nini shida?natamani nisinzie akiiii[emoji17]
Swali limekaa kimtego sanawe umeelewa mambo gan[emoji2957]
Sio wewe ndo mwenyewe bila hilo gari nisingejua😂ahaaaaa sawa ila huw sielewag hay mamb ya duniani labd mpk yapostike huk JF au nione status[emoji23] nipo nyuma sana wallah