nini shida?
Kwenye hilo gari hujaona mabango?A wapii😂
Sio wewe ndo mwenyewe bila hilo gari nisingejua[emoji23]
hesabu kuanzia 300 kurudi nyuma, usingizi utakujashida ni kukoswa usingiz tu nothing more
Swali limekaa kimtego sana
hesabu kuanzia 300 kurudi nyuma, usingizi utakuja
ushauri wa daktari huu
vyovyote tunihesabu nikiwa nmefumba macho au
Nilitegua hapo juuem tegua basi[emoji847]
vyovyote tu
Nilitegua hapo juu
niite mbwa😂na nisipo sinzia je?
Kwani ulimaanisha nini🙄😂nimetafuta hata sijaona em rudia tena[emoji56]
niite mbwa[emoji23]
Kwani ulimaanisha nini[emoji849][emoji23]
kweli huwezi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwasababu unajua siwezi si ndio?
kweli huwezi?
Aaah sawa nilikua naangalia CTN mkuukuach kitu ulichokua unakifanya kabla, na kuanz kuchart huk JF[emoji3526][emoji3526]
basi utanidai buku😂ndio
Aaah sawa nilikua naangalia CTN mkuu
basi utanidai buku[emoji23]