Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenHizi pesa zetu zisiwatese wengine kwa makusudi maana tukifa ni haohao watazitumia hovyo kwa makusudi
Mwenyezi Mungu atupe hekima🙏🏽
MremboBae Charles kilian mie ndo naamka nijiandae to kazini.See uuu[emoji8][emoji8][emoji8]
Yaani nilishtuka usingizini nikacomment nikarudi kulala😀Time imeenda sana mama
Kumbe unajua kuimbaunaweza kufanyaa, kutenda mambo makubwa zaidi ya niombavyo,, maambo makubwa zaid ya tarajio[emoji1545], umenipenda sana Bwana na kunitetea[emoji443][emoji442][emoji445][emoji445],, 00:21
😕mkuu 😭😭😭😂😂😂🤣🤣 tulia wewee🤓
Kumbe unajua kuimba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yule hutomweza,Anapenda mishangazi yote duniani [emoji849]
Siku lala aisee, nilikuwa naangalia documentary fulani ya kichina.Kijana mdogo utakua umeshalala wewe😀
02:46
Yaani saa 1 ndo unaa onekana kambini, huna tofauti na kp, kula potea🤓😆Nipo sana mkuu jasiri akimbii chama
Wamekupumzisha
Aache kuchezea wasio chezewa hilo ni funzo akili imkae Sawa kwanzayaaaaan[emoji23] last seen ni 1min
Me ni kitengo K.O (kazi za ovyo ovyo) nilikua jukwaa la vijana maarufu kama kataa ndoa nawapa somoYaani saa 1 ndo unaa onekana kambini, huna tofauti na kp, kula potea🤓😆