Hakuna haja ya karibu we zama ndani
Yapo mkuu tena kuzidi ya jana.vip leo hakuna makelel huko? maan ndo siku yenyewe hii ya tukio[emoji23]
Uliona wapi mtu anagonga hodi kwenye nyumba za ibada au bar?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapan kwa kweli si kwa ukaribisho huu[emoji1316]
🤣🤣Asilimia kubwa waliomo humu sasa hivi, wanamigogoro ya kimahusiano; anayebisha anyooshe mkono juu.
Kizungu wanaita women's dayHeri ya nini? 🤣
Asilimia kubwa waliomo humu sasa hivi, wanamigogoro ya kimahusiano; anayebisha anyooshe mkono juu.
Nikipigiwa kelele za mwizi?Hakuna haja ya karibu we zama ndani
Wako bado hujautatua?Asilimia kubwa waliomo humu sasa hivi, wanamigogoro ya kimahusiano; anayebisha anyooshe mkono juu.
Hbd mkuuHeri ya siku yangu ya kuzaliwa
Shadow7
Kama kawaidaHuku ni kwema mkuu lindo linaendelea
🤣 🤣 🤣 🤣 Nimebeki na Comment yangu mdomoni Sameja
Walio imara kwenye mahusiano wako huko kwenye shuka moja muda huu; sisi wengine wenye migogoro tuko lindoWako bado hujautatua?
Ulishawahi kugonga hodi bar?Nikipigiwa kelele za mwizi?
Yapo mkuu tena kuzidi ya jana.
Pia yanafanyikia hapa kwa mkoa huu niliopo.
Mkubwa ume zaliwa Leo🤔Heri ya siku yangu ya kuzaliwa
Shadow7
Yote makubwa 🤣 thus i zipped my big uncircumcised mouthHuna dogo wewe😂😂