Kazi zetu manesi wa zamu buana π€£ mje kulalamika manesi wanaroho mbayasince when umeanza kuwa na good patient care mpka imepitiliza namna hiyo[emoji38] em sema vizuri
wewe nawe mmbea khaaa! si ungeyaacha kulekule π€£π€£Makalai ni nini??
Hahaha..hiyo ni kazi ya kuku!ipo siku utayatotoa hayo mayai nakwambia[emoji23][emoji23][emoji23]
Nauliza tuπwewe nawe mmbea khaaa! si ungeyaacha kulekule π€£π€£
Mwambie namsalimia
ungeulizia kule kule ungepungukiwa nini π€£ π€£Nauliza tuπ
Bado sijamaliza kula, napambana na notifications kwanza, huku nataka niangalie movie. Mpaka nimalize kula itakuwa saa nane usiku!hahahaha,, enweiii kwahiy umeshiba tayal sio?
Kazi zetu manesi wa zamu buana [emoji1787] mje kulalamika manesi wanaroho mbaya
Bado sijamaliza kula, napambana na notifications kwanza, huku nataka niangalie movie. Mpaka nimalize kula itakuwa saa nane usiku!
π€£ π€£ mnajilegeza sana wakati katumbo sio ugonjwa, wakati mnabinjuana kwa raha zenu hatukuwepoπ€£kwa kweli tena mkituona na vitumbo vyetu mnavyo tunyali sas[emoji1316]
Oa achana na wahuni wa humuπ€£π€£ vidole vitakua vinanuka vitunguu hivyoBado sijamaliza kula, napambana na notifications kwanza, huku nataka niangalie movie. Mpaka nimalize kula itakuwa saa nane usiku!uni wa
Usicheke mkuu!aiseee[emoji23][emoji23][emoji38] hata sijui nacheka nini
Unakuta mtoto wa kiume kiganja cha mkono chini ya dole gumba kuna mistari kama kajikata hivi...kumbe ni kwa sababu ya kukata vitunguu[emoji28][emoji28].Oa achana na wahuni wa humu[emoji1787][emoji1787] vidole vitakua vinanuka vitunguu hivyo
Maka Maka makalai ππ€ungeulizia kule kule ungepungukiwa nini π€£ π€£
Kama huyo Intelligent businessman anabebisha bogi la mishangazi halafu anajifanya kataa ndoa hapa π€£ π€£Unakuta mtoto wa kiume kiganja cha mkono chini ya dole gumba kuna mistari kama kajikata hivi...kumbe ni kwa sababu ya kukata vitunguu[emoji28][emoji28].
Enewei hawa wahuni usikute wana wake zao uhakika halafu wakija mtandaoni wanakuja na operation kataa ndoa!
[emoji1787] [emoji1787] mnajilegeza sana wakati katumbo sio ugonjwa, wakati mnabinjuana kwa raha zenu hatukuwepo[emoji1787]
π€£π€£ Very busy ukinikutaMaka Maka makalai ππ€
Shiiiiiii usiseme sana π€£π€£π€£hahahahahaha umenikumbusha kitu bana... field yang ya kwanz niliend hosptl moj hiv ipo bush sa nilikuag sijui hiz mambo za kuzalishan zinakuaje, oyaa bas ndo tukaambiwa mkiwa mnapat chance muwe mnazunguka department zote za hap hosp.. ili muwez kujifunza na mpate vitu vya kujaz kweny logbook,, sas my G hiy sik ndo nikaend huko wod ya wazazi nilitaman kulia at 1st[emoji38][emoji38][emoji38] yan mtu anakuja analia pale ila nes anamuangalia anamwambia rud kafanye mazoezi mda bado wa kujifungua tena simple tyu.. nikamuuliz yul dad kwa upole "sa dada y this" akanambia yan hawa hawataki pole pole tena ukiwadekeza wanafany mambo ya ajabu.... oooh ni ka story karefuuu ila kwa ufupi ndo hivyooo