JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Oa achana na wahuni wa humu[emoji1787][emoji1787] vidole vitakua vinanuka vitunguu hivyo
Unakuta mtoto wa kiume kiganja cha mkono chini ya dole gumba kuna mistari kama kajikata hivi...kumbe ni kwa sababu ya kukata vitunguu[emoji28][emoji28].

Enewei hawa wahuni usikute wana wake zao uhakika halafu wakija mtandaoni wanakuja na operation kataa ndoa!
 
Kama huyo Intelligent businessman anabebisha bogi la mishangazi halafu anajifanya kataa ndoa hapa 🤣 🤣
 
[emoji1787] [emoji1787] mnajilegeza sana wakati katumbo sio ugonjwa, wakati mnabinjuana kwa raha zenu hatukuwepo[emoji1787]

hahahahahaha umenikumbusha kitu bana... field yang ya kwanz niliend hosptl moj hiv ipo bush sa nilikuag sijui hiz mambo za kuzalishan zinakuaje, oyaa bas ndo tukaambiwa mkiwa mnapat chance muwe mnazunguka department zote za hap hosp.. ili muwez kujifunza na mpate vitu vya kujaz kweny logbook,, sas my G hiy sik ndo nikaend huko wod ya wazazi nilitaman kulia at 1st[emoji38][emoji38][emoji38] yan mtu anakuja analia pale ila nes anamuangalia anamwambia rud kafanye mazoezi mda bado wa kujifungua tena simple tyu.. nikamuuliz yul dad kwa upole "sa dada y this" akanambia yan hawa hawataki pole pole tena ukiwadekeza wanafany mambo ya ajabu.... oooh ni ka story karefuuu ila kwa ufupi ndo hivyooo
 
Shiiiiiii usiseme sana 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom