financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Yaani ndiyo naamka ila usiku wa leo nakesha tuone sasa nani atashindwa kutoboa😀😀00:35 Haya Kiko wapi😆😆, una koroma mpaka bati Lina tiki Sika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ndiyo naamka ila usiku wa leo nakesha tuone sasa nani atashindwa kutoboa😀😀00:35 Haya Kiko wapi😆😆, una koroma mpaka bati Lina tiki Sika
Daaah,nimetag kweli ilikuwa inagomaHello 🤩😍 mi amor 😘
🥰TeAmo 😍Hello 🤩😍 mi amor 😘
Aisee una taka kulia😆, mi ni mtu niliye kosa challenge humu😆.Yaani ndiyo naamka ila usiku wa leo nakesha tuone sasa nani atashindwa kutoboa😀😀
Tupo sana mkuu00:34 Shadow7, Kichwa Kichafu, Raine Col mko wapi Walinzi vilaza nyinyi!.
Mna achaje lindo tupu, au kisa mkubwa wenu Niko bize na holiday.
Nilikua lindo jukwaa la intelijensia kule 😎
Intelligent businessman alituwakilisha 😁hii midume Intelligent businessman Shadow7 Kichwa Kichafu mnajisikiaje mnakoroma tu mnalindwa na serengeti 🤣 🤣 🤣 lolote baya liwakute🤣🤣
😂😂😂05:42 mkubwa Shadow7, na Kichwa Kichafu kweli udalali ume walipa😆😃
Naam ruhusa zenu nili kuwa nazo, vijana wangu 😆😃Intelligent businessman alituwakilisha 😁
Hebu kale ukalale, mzee una Sera😆🤣Nilikua lindo jukwaa la intelijensia kule 😎
Sawa mkuu tukutane lindoniHebu kale ukalale, mzee una Sera😆🤣
Nipo kitambo Sana, nasubiri ku recruit vijana wapya.Sawa mkuu tukutane lindoni
Kwema kakaWana uzi habari za usiku