Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Asante sana usisahau na ile novena ya mt Ritha wa kashiaHaya wale wakatoriki karibuni tusali novena, na wale mnaopanga kuvunja jungu acheni Mungu hapendi! [emoji120]
Acha bhangi, ndo kwanza 01:0101:10
Shida una Kelele ka mjamzito, kila siku naku twanga ila hukomi.
Kila siku nizungumzie swala hili hili? 🤣 🤣 ?Acha bhangi, ndo kwanza 01:01
Sema huu ugonjwa hata mi ninao, nime punguza 4 kwenye PC yanguKila siku nizungumzie swala hili hili? 🤣 🤣 ?
Wewe pia usiache kutenda mema ...1:06Msichoke kutenda mema🙏🏽
Utukumbuke na id zetu fake katika salaHaya wale wakatoriki karibuni tusali novena, na wale mnaopanga kuvunja jungu acheni Mungu hapendi! 🙏