I see you ma brotherSalam kwenu wakuu. Nimewamiss sana
Ugua pole Elon. 😏 zingatia doseSema huu ugonjwa hata mi ninao, nime punguza 4 kwenye PC yangu
Lionel😄, ni vile tu we ni pisi Kali, ungekuwa una sura ya baba, ninge kutesa🤓Ugua pole Elon. 😏 zingatia dose
Hope uko poa. Jahazi hakika linasongaI see you ma brother
Watoto wa sikuhizi hizi juhudi mnazoweka kuchombeza mashangazi mngezihamishia kuitoa CCM. walah tungewakuta kwenye viti vya enzi pia 🤣 🤣 🤣 mxiiiiie kafwe mbele hukoLionel😄, ni vile tu we ni pisi Kali, ungekuwa una sura ya baba, ninge kutesa🤓
Naam bingwa wa ulinzi wa muda wote nipo, vijana wali force challenge Waka ishia kukimbia😄😄Hope uko poa. Jahazi hakika linasonga
🙏Msichoke kutenda mema🙏🏽
NakubaliNaam bingwa wa ulinzi wa muda wote nipo, vijana wali force challenge Waka ishia kukimbia😄😄
Serengeti ulionea huruma hii ngorongoro kumbe😃😃Ugua pole Elon. 😏 zingatia dose
Sema una penda😄😄, halafu ushangazi huo vepee🤔🤔Watoto wa sikuhizi hizi juhudi mnazoweka kuchombeza mashangazi mngezihamishia kuitoa CCM. walah tungewakuta kwenye viti vya enzi pia 🤣 🤣 🤣 mxiiiiie kafwe mbele huko
Huruma sio malezi 🤣 🤣 Ngorongoro awahi mbele maniajee🤣🤣🤣😍Serengeti ulionea huruma hii ngorongoro kumbe😃😃
Karibu kituo cha ulinziusingizi kushnei
Naamka na jf leoPamoja chief, nakaribisha challenge pia??.
Maana Lethergo ana mbwela m wela tu🤒
Wewe dogo Jana nimekunyoosha leo tena naenda kukunyooshaShida una Kelele ka mjamzito, kila siku naku twanga ila hukomi.
Mimi sioni haja ya kuweka challenge na mtu mwenye ubia na qfl dodoma🤒
ndio napenda Elon, utayakanyagaSema una penda😄😄, halafu ushangazi huo vepee🤔🤔