JamiiForums Usiku wa manane

aisee mama kuibiwa😄, Soon nakuja kukuiba na wewe🤣🤣
Sijakaa sawa kuna siku nimefua nguo hostel nikaanika nikaenda home kusalimia kurudi jioni, naona kamba tu nyeupee nilihisi naota ama labda roommates wamenianulia Hee, kumbe nimeshaibiwa hivyo nguo karibia zoote😀😀
 
Mimi niki ibiwa Nita sahau, ila kupoteza vitu muhinu kwangu ndo kitu kina niumiza Sana.

Tulikuwa na mbwa aisee he was so royal kuliko vitu vyote, tulivyo hama tuka muacha, that pains me till today.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…