Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
aisee mama kuibiwa😄, Soon nakuja kukuiba na wewe🤣🤣😀😀😀 walinikomesha, nilinunua nyingine ikaibiwa kwenye daladala(shuttle) nafika darasani sina simu😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee mama kuibiwa😄, Soon nakuja kukuiba na wewe🤣🤣😀😀😀 walinikomesha, nilinunua nyingine ikaibiwa kwenye daladala(shuttle) nafika darasani sina simu😀
Sijakaa sawa kuna siku nimefua nguo hostel nikaanika nikaenda home kusalimia kurudi jioni, naona kamba tu nyeupee nilihisi naota ama labda roommates wamenianulia Hee, kumbe nimeshaibiwa hivyo nguo karibia zoote😀😀aisee mama kuibiwa😄, Soon nakuja kukuiba na wewe🤣🤣
Mimi niki ibiwa Nita sahau, ila kupoteza vitu muhinu kwangu ndo kitu kina niumiza Sana.Sijakaa sawa kuna siku nimefua nguo hostel nikaanika nikaenda home kusalimia kurudi jioni, naona kamba tu nyeupee nilihisi naota ama labda roommates wamenianulia Hee, kumbe nimeshaibiwa hivyo nguo karibia zoote😀😀
Si mngemchukua with you, Au ilikua mbali?Mimi niki ibiwa Nita sahau, ila kupoteza vitu muhinu kwangu ndo kitu kina niumiza Sana.
Tulikuwa na mbwa aisee he was so royal kuliko vitu vyote, tulivyo hama tuka muacha, that pains me till today.
Mkuu usiombe yakukute😀😀Aiseeee,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahahaha,
Sikuwa na nafasi ya kusema kitu, beside ilikuwa mbali.Si mngemchukua with you, Au ilikua mbali?
Mimi sipendi Pets tena paka ndiyo kabisaa, pole though..Sikuwa na nafasi ya kusema kitu, beside ilikuwa mbali.
Kingine kilicho niuma ni paka wangu kufa, sikula siku nzima.
Basi tatizo Hilo, una penda nyoka au mamba ehh??😄Mimi sipendi Pets tena paka ndiyo kabisaa, pole though..
Napenda kula tu niache😀Basi tatizo Hilo, una penda nyoka au mamba ehh??😄
Napenda kula, ila without pets huo ni uongo aise 😄Napenda kula tu niache😀
Pole mkuu🤣🤣Mkuu usiombe yakukute😀😀
Amen00:00
Glory to God
12:00 AM
mwaka unakimbia huo...
Sasa tuki ku mention Ina saidia nini, 🤣😂12:01 nombeni mniamshe saa kumi na moja na nusu