Nitajaribu kufix ratiba yangu, naona chaguo la mazoezi na kusoma vitabu kama ni mazuri.Duuuh inabidi iwe hvo.. fanya upate usingizi wa kutosha hata kwa kufosi...
Jobless pro max ni asset muhimu Sana, keep observing uki niona list ya ma Jobless bora africa USI shituke🤓😂😂😂😂😂😂 Wee pro jobless unayajulia wapi haya....
Wee ukishajua D1 + D7 wee ushamaliza sio
Kijana mjini mna faidi Sana, Mimi mpk niende center kwenye kibanda umiza🤓Mda wa kuchek movies sasa
Dsvn ndo nini huko mjini 🤒🤔Weee kuna mpya gani kutoka kwa DSVN
saa yangu ni yangu mimi 🤣❌
12:53 AM
Tafuta diaposam ni nzuri, na ziko international verifiedSana, kuna kipindi nilitaka nijàribu dawa za usingizi ila kuna daktari mmoja akanipa side effects zake ikabidi nitemane nazo.
Asante mkuu, sema kwa sasa sitachukua vidonge kama chaguo la kwanza.Tafuta diaposam ni nzuri, na ziko international verified
Unapiga panga shift sio?saa yangu ni yangu mimi 🤣
unaakili sana ulisoma weruweru? 🤣Unapiga panga shift sio?
weru weru si ya wasichana?unaakili sana ulisoma weruweru? 🤣
🤣 🤣 Nilitaka kuitaja Uruweru weru si ya wasichana?
Acha kuwapa chai wadau hayo matukio ni ya ukweli.Ni utunzi tu
😂 dah malizeni tofauti zenuunaakili sana ulisoma weruweru? 🤣
wewe wa anuarite nini?🤣 🤣 Nilitaka kuitaja Uru
Muache mwenzako 🤣 🤣 🤣😂 dah malizeni tofauti zenu