wewe wa anuarite nini?
Mwenzangu? Mbona unatukosea mkuuMuache mwenzako 🤣 🤣 🤣
ngoja tuoneNabaki mwenyewe hapa leo
Sawa, Jitahidi unywe maziwa mgando ma ndizi zilizo iva 2.Asante mkuu, sema kwa sasa sitachukua vidonge kama chaguo la kwanza.
Kuna wadau wamenishauri huko juu nitaanza na hayo.
Acha uongo mzee, daku SI saa 9 usiku.
Nusu albinoo mwenzio 🤓
Huyo ni jobless katika harakati za kusaka mkate wa kila sikuNusu albinoo mwenzio 🤓
03:43Ukipigwa shavu la kushoto, geuza na la kulia upigwe vizuri
haya twenzetu mdo mdoSijapasi! Njoo twende kanisani