OkyKaribu
Hahaha nilale wakati ndio kumekuchaNajua ushalala..usiku mwema
KhaaaaaaNafunga get jamaniiiiii
Kwema. Naona siku tumeanza mapema kabisaPoa,kwemaa?
Si najua sikuhz ushakua kuku..unakuja asbh kuzugaHahaha nilale wakati ndio kumekucha
Mambo zako?
Vp tenaaa hyo khaaKhaaaaaa
Amna leo mimi ndio mlinzi wa kilinge hiki aki nakuambiaSi najua sikuhz ushakua kuku..unakuja asbh kuzuga
Yap nmefungua mapemaaa geti mana sikuhz watu ata sa 7 hawafikiKwema. Naona siku tumeanza mapema kabisa
Mimi ndio naingia halafu unataka kufunga geti!![emoji15] [emoji15]Vp tenaaa hyo khaa
Bas sawa nakuachia kilinge mda si mrefu alafu ntarud badae nkuoneAmna leo mimi ndio mlinzi wa kilinge hiki aki nakuambia
Ohoo hyo msg si ya leoMimi ndio naingia halafu unataka kufunga geti!![emoji15] [emoji15]
Hahaha sasa unaenda wap?au ndio mambo ya weekend mubasharaBas sawa nakuachia kilinge mda si mrefu alafu ntarud badae nkuone
Afadhali maana jana nilijikuta mwenyeweYap nmefungua mapemaaa geti mana sikuhz watu ata sa 7 hawafiki
Weeknd si nasubr ahadi yangu au umesahauHahaha sasa unaenda wap?au ndio mambo ya weekend mubashara
Haha pole nilikuja badae na ww ukawa ushapoteaAfadhali maana jana nilijikuta mwenyewe
Heheheheh sijasahau wewe vuta subira tu,[emoji6]Weeknd si nasubr ahadi yangu au umesahau
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ohoo hyo msg si ya leo
Asante sanaHaha pole nilikuja badae na ww ukawa ushapotea