JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Amen Brother..😉
00:21am
16.12.2017
Jumamosi.
Bado siku 15 tu kuingia mwaka 2018. Still you CAN propose , get married, buy a house , get a raised pay, earn honor ,dignity and respect you just have to play SAFE and reach your GOALS.............
 
Ngoja niongeze juhudi kwenye kucheza biko labda mwaka unaweza ukaisha kwa kicheko [emoji4]
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Duuh hapa sasa ndipo walinzi woote ....ndyo watajulikana...[emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61]
 
Back
Top Bottom