TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
no way ngoja nipambane na moyo wanguNilikwambia mke wa mtu yulee.. Anyway lkn ndo uanaume huo,pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no way ngoja nipambane na moyo wanguNilikwambia mke wa mtu yulee.. Anyway lkn ndo uanaume huo,pole
Cha mara vip una tumiaumebakiza?
Namshangaa tu anavyomumendea dada yangu.Nilikwambia mke wa mtu yulee.. Anyway lkn ndo uanaume huo,pole
Ngoja aje kujibu hapaHuenda
00:21am
16.12.2017
Jumamosi.
Bado siku 15 tu kuingia mwaka 2018. Still you CAN propose , get married, buy a house , get a raised pay, earn honor ,dignity and respect you just have to play SAFE and reach your GOALS.............
Ngoja niongeze juhudi kwenye kucheza biko labda mwaka unaweza ukaisha kwa kicheko [emoji4]00:21am
16.12.2017
Jumamosi.
Bado siku 15 tu kuingia mwaka 2018. Still you CAN propose , get married, buy a house , get a raised pay, earn honor ,dignity and respect you just have to play SAFE and reach your GOALS.............
Wewe mwanafunzi ile chemsha bongo mbona hujakusanya?Chonde chonde Inna usiondoke pasi kuninong'oneza ile issue ulonambia mchana
[emoji13] [emoji13]Mimi navuta cha Chuga wala usijali
Ngoja aje kujibu hapa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]umebakiza?
HahahNgoja niongeze juhudi kwenye kucheza biko labda mwaka unaweza ukaisha kwa kicheko [emoji4]
iweke kwa friza[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hiyo haina kiporo
muulize dingi😡Naruhusiwa kukesha naww bubie..🙂🙂
Habari ya kutishia wattu panga siitakiCha mara vip una tumia
muulize dingi😡
Vita ni vita muraaaaaa!Habari ya kutishia wattu panga siitaki
Itapoteza ubora wakeiweke kwa friza
ndo itakuwa na ukali mara dufuItapoteza ubora wake
Duuh hapa sasa ndipo walinzi woote ....ndyo watajulikana...[emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61]Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!