Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,247
- 1,815
Sawa dingiOoh jaman nisamehe natengua kauli sasa , utakesha nami[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa dingiOoh jaman nisamehe natengua kauli sasa , utakesha nami[emoji4]
Inna shahidi,unaonekanaga saa moja asubuhi kama yule mzee wa last man standingHahaha amna mimi mkeshaji mzuri tu, humu
Karibu[emoji6]Sawa dingi
Inna naye umeona alivopotelea alafu kumi na moja asubuh anashtuka kufunga kilingeInna shahidi,unaonekanaga saa moja asubuhi kama yule mzee wa last man standing
We cheza biko mi nacheza 3mzuka wote tukishinda tutazichanganya halafu tugawane [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja niongeze juhudi kwenye kucheza biko labda mwaka unaweza ukaisha kwa kicheko [emoji4]
[emoji3] [emoji3] karbu kamanda
"mgeni aje mwenyeji apone"
Mbona unakimbia mapema hivyo??? naenda kunlala mie
Hahahaha!!! Aisee unatokea wapi? Chuga auAhsante sana mkuu ila nakuja na nauli ya kuja na kurudi tu 😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani nyie watu siwawezi siku hizi. Sijui tufanyeje kutatua hili tatizo la watu kupotea kimya kimyaInna naye umeona alivopotelea alafu kumi na moja asubuh anashtuka kufunga kilinge
Kuna mjamaa alkua anankimbizaMbona unakimbia mapema hivyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimeshaachana na shule,maana niliona walimu wangu mnanipoteza,mmoja mlevi mwingine mvutabhange [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Usisahau kubeba na grisi ya kulainishia vyuma, vinginevyo mwenyeji wako atakununia mapemaAhsante sana mkuu ila nakuja na nauli ya kuja na kurudi tu 😀😀😀
anadai saa7, anakuja kunichek kama nipo au nisha mbonji[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani nyie watu siwawezi siku hizi. Sijui tufanyeje kutatua hili tatizo la watu kupotea kimya kimya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Inna shahidi,unaonekanaga saa moja asubuhi kama yule mzee wa last man standing
Usiwaze atakae wahi kupata anamgawia mwenzake.We cheza biko mi nacheza 3mzuka wote tukishinda tutazichanganya halafu tugawane [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baki baki kidogoKuna mjamaa alkua anankimbiza
Unaona sasa....ndio maana niliwakimbia wewe ukiingia darasani unanivutisha bhange eti ndo nitaelewa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Akili lazima ibustiwe kwanza kabla ya kazi