JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Akili lazima ibustiwe kwanza kabla ya kazi
Unaona sasa....ndio maana niliwakimbia wewe ukiingia darasani unanivutisha bhange eti ndo nitaelewa.
Nleterewa Nganengo ananinywesha bombadia eti nistue akili. Sitaki tena kusoma wacha nijaribu tu ujinga
 
Back
Top Bottom