JamiiForums Usiku wa manane

Ahahaaa wewe ni shidaah
Ila wengine tungeelewa unaifanyia testing ili ziingie sokoni [emoji26]
hahahaa
eeeh
tumepewa wachache sana sasa naona skeptikalz wangekuwa ni mingi [emoji23].
ila najua at least wewe ungeniamini
 
hahahaa
eeeh
tumepewa wachache sana sasa naona skeptikalz wangekuwa ni mingi [emoji23].
ila najua at least wewe ungeniamini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa huwa sina mashaka na vitu vidogo vidogo kama hivyo ni mwendo wa kukubali nje nafsini najisemea kama ni uongo utajua mwenyewe [emoji39]
 
Hata mimi nilidhani hivyo hivyo kumbe ni mambo yao hawa jamaa ila nimefanikiwa kuitoa naona wewe bado inasoma tecno j8
Umefanyaje

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…