ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Hahahahathanks
maana watu wangehisi najisifia kutumia iPhone 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahathanks
maana watu wangehisi najisifia kutumia iPhone 8
Duh pole sanaSiku zote huwa nachelewa sema huwa nakuwa naangalia movie sasa leo umeme hamna
Yaaala jamaniSiku zote huwa nachelewa sema huwa nakuwa naangalia movie sasa leo umeme hamna
Ahahaaa wewe ni shidaahthanks
maana watu wangehisi najisifia kutumia iPhone 8
sawaAisee mmbaki salama mpate usingizi!
Asanteh sanaDuh pole sana
uwe una niita tuangalie wote bas , umeme umekatika au bwana LUKU ameisha hapo?Siku zote huwa nachelewa sema huwa nakuwa naangalia movie sasa leo umeme hamna
Asante nawe piasawa
ulale salama ISIS
OkAsanteh sana
Kila la kheri, uwe na njozi njema.Aisee mmbaki salama mpate usingizi!
hahahaaAhahaaa wewe ni shidaah
Ila wengine tungeelewa unaifanyia testing ili ziingie sokoni [emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaa
eeeh
tumepewa wachache sana sasa naona skeptikalz wangekuwa ni mingi [emoji23].
ila najua at least wewe ungeniamini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]uwe una niita tuangalie wote bas , umeme umekatika au bwana LUKU ameisha hapo?
ukute bwana Luku alikutembelea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Luku tena jamani
Ahahahaaaaa haya banahukute bwana Luku alikutembelea
itabid nikutafute unipe movies
pole kwa umeme
ngoja nikafue now
UmefanyajeHata mimi nilidhani hivyo hivyo kumbe ni mambo yao hawa jamaa ila nimefanikiwa kuitoa naona wewe bado inasoma tecno j8