Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Halafu niku ambie kitu, Kuna watu wako ka Malaya wa haile Selassie🤓🤣.Hiyo 7 umemuachia nani? 🤣 floor ya 3 na unusu. halafu sitaliongela tena hili
ile sumve girls adv ipo hungumalwa?Uchovu wa happy ending utakufanya usinzie uache lindo kipenzi..
now ni frenemy? mbaya sanaHalafu niku ambie kitu, Kuna watu wako ka Malaya wa haile Selassie🤓🤣.
Mmoja wapo ni huyo anae sema apigiwe
Sumve girls tena? unataka kuninyima nini aisee..!!ile sumve girls adv ipo hungumalwa?
Kijana nili mpiga limitations za mazoea, ghafla kageuka hater ana bwabwaja ka katiwa mashine ya mahindi🤓🤣now ni frenemy? mbaya sana
KabisaAisee masaa usiku hayaendi
Kaka natazama Hapa godfather of Harlem ni series Kali sanaAisee masaa usiku hayaendi
Dalali karejea🤓🤣😂0209Hrs
Wednesday
20.03.2024
Kama Una Shughuli Ya Kufanya Ila Kama Kulala YanapepeaAisee masaa usiku hayaendi
nimekuswalika Unaijua Sumve girls?Sumve girls tena? unataka kuninyima nini aisee..!!
Mkuu Kwema Ndugu Yangu?Dalali karejea🤓🤣😂
Sasa saa 8 usiku shughuli gani. Nitaitwq mchawi tuKama Una Shughuli Ya Kufanya Ila Kama Kulala Yanapepea
Ni kwema kabisa ndugu yangu, Natumai mna endelea vyema huko!?Mkuu Kwema Ndugu Yangu?