Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
AbsolutelyKaka yaani ni mzunguko mzuri, ukiwa na kichenji kime tulia ni biashara nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AbsolutelyKaka yaani ni mzunguko mzuri, ukiwa na kichenji kime tulia ni biashara nzuri
Ninalo home, ila sili tumii coz uko washa ni Kama uko baharini 😂😂Hili Joto Sometimes Inabidi Ufunge Panga Boya Moja Juu Kupigana Nalo😂
Tarehe Za Wandewa Tu Mjini Kuonesha Mbwembwe Wengine Wamekaa Pembeni Kusikilizia Mchongo Wa Tarehe Zile Za MwishoniLabda A, ilo B haiwezekani kwasababu gari inatembelea rim sahiv
😂😂😂Ninalo home, ila sili tumii coz uko washa ni Kama uko baharini 😂😂
2015? 😳Ko 2015 ndo ume maliza hapo 😁🤣, wali kufanyaje tena??
Haya ume maliza Mwaka gani 🤔2015? 😳
Kaka Lina upepo mkali Sana 🤣
Nakuja ila huyo dada wa buguruni mpaka aache kununa kisa afu 3🤣 Nitawaalika Mje makao makuu niwapeleke msalato mle mbuzi mzima mtamaliza?
Mcheki mama ako ata kuambia mi nani yako2:22 AM Umeshindwa kumpiga alie kunyima afu 3 now unaongea kama Binti wa buguruni
🤔Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Sasa lishidwa nini kuuliza tangu mwanzoni 🤣 🤣 tabia gani kuuliza wakubwa swali kama hizi utawacha kuvuta bange ama hapana?Haya ume maliza Mwaka gani 🤔
Hilo Ndio Kiboko Ya Joto Katikati Ya Mji Kwa Maisha Ya Kila Siku Ya Uswahilini 😂😂😂Kaka Lina upepo mkali Sana 🤣
Ume maliza Mwaka gani Sasa 😂, beside u know I don't smoke 🤣Sasa lishidwa nini kuuliza tangu mwanzoni 🤣 🤣 tabia gani kuuliza wakubwa swali kama hizi utawacha kuvuta bange ama hapana?
Tuta umwa vifua Kaka😂🤣Hilo Ndio Kiboko Ya Joto Katikati Ya Mji Kwa Maisha Ya Kila Siku Ya Uswahilini 😂😂😂
Karibu Sana Mkuu Jamvini