Nimecheki TV macho yanauma. Sema uzuri leo hakuna joto sanaaa.Kaka natazama Hapa godfather of Harlem ni series Kali sana
Kaka nunua feni yenue upepo mzuri, Kama pisi mna chukua Kali, na feni iwe ya Bei ghali SasaππNimecheki TV macho yanauma. Sema uzuri leo hakuna joto sanaaa.
π€£ Nitawaalika Mje makao makuu niwapeleke msalato mle mbuzi mzima mtamaliza?Kijana nili mpiga limitations za mazoea, ghafla kageuka hater ana bwabwaja ka katiwa mashine ya mahindiπ€π€£
Mimi naijua, ime fanyaje ??, au ndo uli graduate hapo, πnimekuswalika Unaijua Sumve girls?
Sasa saa 8 usiku shughuli gani. Nitaitwq mchawi
Mjini Watu Hawalali Two Options Kutafuta Pesa Mida Hii Au Kutumia Pesa.Sasa saa 8 usiku shughuli gani. Nitaitwq mchawi tu
Haifai hata kuni sogelea, naeza m knock down nimtoe ubongoπ.π€£ Nitawaalika Mje makao makuu niwapeleke msalato mle mbuzi mzima mtamaliza?
Yeah naifahamu, umesoma hapo?nimekuswalika Unaijua Sumve girls?
Dah πππ pesa ngumu sana nina Dolphin ya elfu 35 inatawanya vumbi hapaKaka nunua feni yenue upepo mzuri, Kama pisi mna chukua Kali, na feni iwe ya Bei ghali Sasaππ
Ukiwa na huduma ya kutuma na kutoka pesa, karibu na clubs Basi uta piga hela kinyamaMjini Watu Hawalali Two Options Kutafuta Pesa Mida Hii Au Kutumia Pesa.
Huku Ni Kwema Kabisa BrotherNi kwema kabisa ndugu yangu, Natumai mna endelea vyema huko!?
Labda A, ilo B haiwezekani kwasababu gari inatembelea rim sahivMjini Watu Hawalali Two Options Kutafuta Pesa Mida Hii Au Kutumia Pesa.
pale hau graduate unamaliza tu . nilikua na siku kadhaa za maisha mafupiMimi naijua, ime fanyaje ??, au ndo uli graduate hapo, π
Sasa why ulalamike joto Tena??Dah πππ pesa ngumu sana nina Dolphin ya elfu 35 inatawanya vumbi hapa
Inakuwa Kama Pharmacy Zile Za 24HrsUkiwa na huduma ya kutuma na kutoka pesa, karibu na clubs Basi uta piga hela kinyama
Ko 2015 ndo ume maliza hapo ππ€£, wali kufanyaje tena??pale hau graduate unamaliza tu . nilikua na siku kadhaa za maisha mafupi
Kaka yaani ni mzunguko mzuri, ukiwa na kichenji kime tulia ni biashara nzuriInakuwa Kama Pharmacy Zile Za 24Hrs
Hili Joto Sometimes Inabidi Ufunge Panga Boya Moja Juu Kupigana NaloπDah πππ pesa ngumu sana nina Dolphin ya elfu 35 inatawanya vumbi hapa