Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nao hao mom...vizurure
🤣🤣🤣🤣 nitakutana nao keshonimewaacha da kidoti ila wakija wasije wakanisumbua kutaka samare[emoji38]
Hivi mpenz,ukianza jisikia uvivu kwenda job huwa unajibusti vipi? Maana☹️nimewaacha da kidoti ila wakija wasije wakanisumbua kutaka samare[emoji38]
23:32 nawatakia lindo jema
Hivi mpenz,ukianza jisikia uvivu kwenda job huwa unajibusti vipi? Maana[emoji3525]
Nitawasalimu cute,naona huyu mdogo kaanza uvivu Shule kila ifikapo asubuhi anachechemea eti mguu unamuuma...ndiyo kwanza yupo nursery....ukimwacha tu bas full kuchezanawe pia ulale unono wasalimie hao ma aunt wangu[emoji8]
Yeah sure,Leo nimeomba ruhusa...kesho ngoja niende nikapige kazi...ila duuh😒hii kitu ilinitesa kipind flani ila saiv atleast, kuna ule msemo chezea mashahar ila usichezee kazi, alf uanze kuimagin maish yako bila kuwa na pesa alooo nguvu huwa zinakuj automatiki jikaze tu dia
Nitawasalimu cute,naona huyu mdogo kaanza uvivu Shule kila ifikapo asubuhi anachechemea eti mguu unamuuma...ndiyo kwanza yupo nursery....ukimwacha tu bas full kucheza
🤣🤣kanawaza kula tu jamani🤗hawa wanamambo kwelii, kuna mwingine hap mtot wa sstr kila nikimpeleka shule anaanz kuuliza " nikitoka shule nitakuta tumepika nini" yaan nacheka mpka basi az ifu huwa yupo wakati wa mapishi
Yeah sure,Leo nimeomba ruhusa...kesho ngoja niende nikapige kazi...ila duuh[emoji19]
[emoji1787][emoji1787]kanawaza kula tu jamani[emoji847]
Very sasa....kuna kipindi nilitaka niache nikapige mishe SA....nilipomshirikisha mama akasema “mwanangu utachina aisee”hakuna namna hapoo, kama maokoto yangekuepo ya kutosha ni unajifungulia ka biashara kako alf unatulia unakua unajiamulia mda wa kufunga na kufungua yan no stress, ila saiv ni kusota tu[emoji17] kweny hizi ajira
Onhoo,uoga wa masomondo hivyo[emoji23][emoji23] anapend kula ila mwili ushagoma sijui ndo stress za shule maan na yeye ndo kaanz zile baby class[emoji38]
Very sasa....kuna kipindi nilitaka niache nikapige mishe SA....nilipomshirikisha mama akasema “mwanangu utachina aisee”