JamiiForums Usiku wa manane

udugu na huku unafika[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mbona hili lilikua chimbo langu kabisaa, nilikua nabebika na Mjep yaan tunalinda haswaaa.

Baadae nkaonaa nisepee kwan, nikahamia makapuuuu nako nkaswampaaaa wee, aaah nkaamua sasa niwe napita napita huko nje kusuuza macho tyuuh.

Hapa mie ni mwenyejii kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…