JamiiForums Usiku wa manane

Sahihii kabisa mkuu
Nimiongoni mwa wasanii wenye ladha katika mashairi,
Ukiskia mashairi yake tu yanakupa tafakari flani ivi...
Mf. Juhudi za wasiojiweza aliifanya na bikidude enzi za uhai wake
Naunga mkono hoja kaka jamaa ni fundii sana huyu namuwekaga no 1 mbili nmpa AY tatu Nampa mwanafa nne Darasa Tano dizasta vina
 
1:39 AM Tcha-tcho na kanisaki bolingo yango ezalaki ya solo... nzoka okosaka 'no ngai
Mbala na kanisaki bolingo yango ezalaki ya solo
Tcha-tcho o profiter na faiblesse, po moyibi akoteli nga na ndako... na midi
Nga nasali bozoba portable erreur chiffre moko e sonner epayi ya ... moto mususu
Mama aaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…