JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tumekoma bhana maana kuja kuaibishana kwenye mitandao Inaumiza kidogo mtu lazima mtu ujifunze...afu bora uaibishe hivihivi mtu anakuaibisha mpaka matatizo yako uliyomweleza unayo....yake umemtunzia ila yako anakuja yaandika hadharani eti “Mara mama anaumwa! Mwee,hakika tunawrong choice maana si wote huzalilisha hivi.Mtu akiwa ombaomba we mkimbie tu usimdhalilishe huku wakati yeye kakutunzia mambo yako.Hekima hainunuliwi wapendwa.Mtusamehe jamani hatutorudia tena
Umeamkaje
 
Back
Top Bottom