Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sintumiamviwa tutanyakuliwa02:53
Everybody wants to go to heaven, but nobody wants to die.
Who are thoseThey can't tell me nothing, they can't match my energy
HahahahahaUaminifu kwa Boss wako ni kitu muhimu sana
HahahahahaWanawake kutulia na ndoa zao siyo kwamba hawawezi...tatizo vikoba...Vikoba vinamaliza ndoa za watu
Hahahahaha..kuombana ombana hela tu sio freshKuomba omba hela za demu wakati unamikono na unajua kutafuta sio fresh
UmeamkajeTumekoma bhana maana kuja kuaibishana kwenye mitandao Inaumiza kidogo mtu lazima mtu ujifunze...afu bora uaibishe hivihivi mtu anakuaibisha mpaka matatizo yako uliyomweleza unayo....yake umemtunzia ila yako anakuja yaandika hadharani eti “Mara mama anaumwa! Mwee,hakika tunawrong choice maana si wote huzalilisha hivi.Mtu akiwa ombaomba we mkimbie tu usimdhalilishe huku wakati yeye kakutunzia mambo yako.Hekima hainunuliwi wapendwa.Mtusamehe jamani hatutorudia tena
Mi nimeamka salama ndugu...ndiyo nataka nikaoge njiandaeUmeamkaje