To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Kwanini lodge?Hahahahaha..nalala sana tu..hapa yenyewe natafuta lodge nilale kdg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini lodge?Hahahahaha..nalala sana tu..hapa yenyewe natafuta lodge nilale kdg
Hahahahaha...hii iko ki mbinu zaidiKwanini lodge?
Okay sawaHahahahaha...hii iko ki mbinu zaidi
Hahahahaha...sio wote huwa tunalala home....na sio muda wote tunapatikana kwetu ..ndio maana kuna huu uzi wa sie walinzi wa usikuOkay sawa
Ni kweli Kabisa...nimekuelewaHahahahaha...sio wote huwa tunalala home....na sio muda wote tunapatikana kwetu ..ndio maana kuna huu uzi wa sie walinzi wa usiku
Hahahahaha...safi sana km umeelewaNi kweli Kabisa...nimekuelewa
Huu uzi unaukubali Sana [emoji119]Ni kweli Kabisa...nimekuelewa
Sana yaanHuu uzi unaukubali Sana [emoji119]
Asante SanaaPole sana
Skupingi [emoji109]Sana yaan
Najua Kaka, mdogo Nina tease out uchangamke tu🤣😂😊😂😂 Siumwi malaria mkuu Ni kuvunjika 😊😊😊 muda mwingi nipo Bed so Kuna muda nakua Sina usingizi.........
Ndio nimeanza mazoezi ya kukanyagia mguu
Some crazy dude, looking for attention.Who are those
Just skip themSome crazy dude, looking for attention.
But I got nothing to say, kwani tuna jua we are ahead
Unajua mkuu mi sipendi u key board warrior,Just skip them
Take it easy bro maisha mafupi haya jitahidi myamalizeUnajua mkuu mi sipendi u key board warrior,
issue ni kwamba nili mwambia dogo fulani tuweke limit kidogo.
Akamaindi na kuanza kutukana hovyo, mi nime Sema if he got guts let's meet aropoke face to face
Kimetokea nini tena ?Take it easy bro maisha mafupi haya jitahidi myamalize
He talks a lot of shit, ili kupata attention.Take it easy bro maisha mafupi haya jitahidi myamalize