JamiiForums Usiku wa manane

aisee leo hii vocadom inasumbua san kwang ipo chin mno inanikeraaa mpka nashindwa kuendea kuwepo onlin maan vitu vinaload tu[emoji35],
 
weee hiy post uliyo ikwoti mbona sijaiona jamn au da kidoti kaifuta[emoji23][emoji23],, ila anajua kunifurahisha uwiiii[emoji1787][emoji1787]
Yule ni mod kwa upande wa pili ukijichanganya unakula na ban juu
 
Yule ni mod kwa upande wa pili ukijichanganya unakula na ban juu

aaah wanaharib utamu bwana uzi wenyew ni "usik wa manane" means watoto wote wamelala kwahiy yanay endelea ni mambo ya watu wazima[emoji847][emoji847].. ila sijapendraaa walivy fanya[emoji853]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…