JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

weee hiy post uliyo ikwoti mbona sijaiona jamn au da kidoti kaifuta[emoji23][emoji23],, ila anajua kunifurahisha uwiiii[emoji1787][emoji1787]
Yule ni mod kwa upande wa pili ukijichanganya unakula na ban juu
 
Yule ni mod kwa upande wa pili ukijichanganya unakula na ban juu

aaah wanaharib utamu bwana uzi wenyew ni "usik wa manane" means watoto wote wamelala kwahiy yanay endelea ni mambo ya watu wazima[emoji847][emoji847].. ila sijapendraaa walivy fanya[emoji853]
 
Back
Top Bottom