Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha..huo ni usaliti utakuaTukishirikiana tunakugeuka lindoniπ€
Tena nimekataa kwa nguvu zangu zote ππ€£π€£umekataa kabisaπ
""Inashangaza kijana hana kazi, hana pesa lakini ana hamu ya kulaKama kula chakula ni u hovyo, basi na nirogwe π
Kwa nyie ..Lindo ndo limeanza mkuu
Una lolote, dogo umekulia kota wewe π πKaka Mzee wangu alikuwa mwizi tu, na ndicho nilicho rithi π.
Sera zetu panga mkononi
Roho begani
Mmmh kijana endelea na kama ungekuja huku ungekua NANGA OGKenge weeπ, acha waku jaze, ili uje kupasukaπ€π
Maji hana....πππππMweupe tu huyo dogo π
Basi auntie yako Ina onesha ni wale wa tandale ehhπ€π, maana huo ni uswahili π€£""Inashangaza kijana hana kazi, hana pesa lakini ana hamu ya kula
Upuuzi mtupu"""
ππππππ Alisemq antiel angu
Kaka ulisha wahi kuibiwa ndani kwakoπMweupe tu huyo dogo π
Bad things happen to good peopleBeing trusted is a greater compliment than being loved
Aisee una laanaππ, huu SI uzinifu Sasa π€£Daku.
Karanga + Maji mengi..
Kijiko cha moto kuliko sufuria pata picha hapo ππππππππππππππ@analyse
Yani mpaka naibiwa, Mimi nakuwa wapi time hiyo? πKaka ulisha wahi kuibiwa ndani kwakoπ
Kaka nili wahi shinda tatu mzuka, walivyo niuliza Nita zitumiaje pesa zangu.Una lolote, dogo umekulia kota wewe π π
Lakini siku zote waenga walisema ukitaka Mali utaipata shambani, msemo huu ni kweli na hakika.Doria kenda inaanzoa mbezi bonyokwa
πππππππππππππAisee una laanaππ, huu SI uzinifu Sasa π€£
Wew ni mtoto wa kota, pigo hizo huziwezi kabisa πKaka nili wahi shinda tatu mzuka, walivyo niuliza Nita zitumiaje pesa zangu.
Nika waambia Nita boresha mbinu za kazi yangu, mtaa mzima uli hama Baada ya kusikia hivyoπ€£ππ
Walizani choo cha kukaa, kumbe ni kuchuchumaaKaka nili wahi shinda tatu mzuka, walivyo niuliza Nita zitumiaje pesa zangu.
Nika waambia Nita boresha mbinu za kazi yangu, mtaa mzima uli hama Baada ya kusikia hivyoπ€£ππ