Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha..huo ni usaliti utakuaTukishirikiana tunakugeuka lindoni🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha..huo ni usaliti utakuaTukishirikiana tunakugeuka lindoni🤒
Tena nimekataa kwa nguvu zangu zote 😅🤣🤣umekataa kabisa😁
""Inashangaza kijana hana kazi, hana pesa lakini ana hamu ya kulaKama kula chakula ni u hovyo, basi na nirogwe 😂
Kwa nyie ..Lindo ndo limeanza mkuu
Una lolote, dogo umekulia kota wewe 😅😅Kaka Mzee wangu alikuwa mwizi tu, na ndicho nilicho rithi 😂.
Sera zetu panga mkononi
Roho begani
Mmmh kijana endelea na kama ungekuja huku ungekua NANGA OGKenge wee😂, acha waku jaze, ili uje kupasuka🤓😂
Maji hana....😂😂😂😂😂Mweupe tu huyo dogo 😅
Basi auntie yako Ina onesha ni wale wa tandale ehh🤓😂, maana huo ni uswahili 🤣""Inashangaza kijana hana kazi, hana pesa lakini ana hamu ya kula
Upuuzi mtupu"""
😂😂😂😂😂😂 Alisemq antiel angu
Kaka ulisha wahi kuibiwa ndani kwako😂Mweupe tu huyo dogo 😅
Bad things happen to good peopleBeing trusted is a greater compliment than being loved
Aisee una laana😂😂, huu SI uzinifu Sasa 🤣Daku.
Karanga + Maji mengi..
Kijiko cha moto kuliko sufuria pata picha hapo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁@analyse
Yani mpaka naibiwa, Mimi nakuwa wapi time hiyo? 😅Kaka ulisha wahi kuibiwa ndani kwako😂
Kaka nili wahi shinda tatu mzuka, walivyo niuliza Nita zitumiaje pesa zangu.Una lolote, dogo umekulia kota wewe 😅😅
Lakini siku zote waenga walisema ukitaka Mali utaipata shambani, msemo huu ni kweli na hakika.Doria kenda inaanzoa mbezi bonyokwa
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌Aisee una laana😂😂, huu SI uzinifu Sasa 🤣
Wew ni mtoto wa kota, pigo hizo huziwezi kabisa 😅Kaka nili wahi shinda tatu mzuka, walivyo niuliza Nita zitumiaje pesa zangu.
Nika waambia Nita boresha mbinu za kazi yangu, mtaa mzima uli hama Baada ya kusikia hivyo🤣😂😂
Walizani choo cha kukaa, kumbe ni kuchuchumaaKaka nili wahi shinda tatu mzuka, walivyo niuliza Nita zitumiaje pesa zangu.
Nika waambia Nita boresha mbinu za kazi yangu, mtaa mzima uli hama Baada ya kusikia hivyo🤣😂😂