Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Life is full of complications, being good haikupi assurance ya kuwa treated better au kupata good results kutoka kwa watuIf you a nicer ,kinder , Generosity you will leap the same fruits.
+++ Let us be smart and integrityTrue universe is real , bad or good is the way you interpret things or stuffs
But in universe life is an echo , your input determines your output
If you a nicer ,kinder , Generosity you will leap the same fruits.
Let us be humble and pray each other
Tupo mkubwaMpo vijana
Tupo mkuu..Mpo vijana
Hahaha, engine. Ina pashwa moto.Bila tubia tuwili ...lindo litanisumbua...
Safi km ulinzi upo vzr..natoka kdg kupata mbili baridi, mbili motoTupo mkubwa
Hahahahaha..hawatoaminiTupo mkuu..
Wakijidai vizibo wewe zibuka zaidi heshima itakuwepo tu
Life is full of complications, being good haikupi assurance ya kuwa treated better au kupata good results kutoka kwa watu
Life is all about interest, na hii ndo nguzo pekee.
Mtu ana kupenda coz ana nufaika na wewe, wewe humpendi fulani coz haunufaiki nae Poor Brain
Hahaha, mimi hivyo hvitu situmii. Nisije choma nyumba za watu moto. HahahaSafi km ulinzi upo vzr..natoka kdg kupata mbili baridi, mbili moto
Interest ndo nguzo ya maisha, IPO siku utaelewa kijana.Ahaaa ! If you want to go broke in long run just focus on interest.
DuhHahaha, mimi hivyo hvitu situmii. Nisije choma nyumba za watu moto. Hahaha
Interest ndo nguzo ya maisha, IPO siku utaelewa kijana.
Watu Hawana maadui wa kudumu, au marafiki wa kudumu. It's all about kunufaika
Pata hela ndo uje uongee hii kauli 🤓Money is man made but money has make man mad and mud
Aaah money kila mutu anayo isipokuwa kiwango gani unamaanish😁Pata hela ndo uje uongee hii kauli 🤓
Kuna mzee mtaani kwetu Ali fanyiwa sherehe ya kufikisha 80, SI aka piga mitungi ya kutosha.
Hiyo hiyo uliyo Sema Ina wageuza watu mad and mud.Aaah money kila mutu anayo isipokuwa kiwango gani unamaanish😁
HahahahahaKuna mzee mtaani kwetu Ali fanyiwa sherehe ya kufikisha 80, SI aka piga mitungi ya kutosha.
Ali choma nyumba, kisa kuwasha sigara kwenye jiko la gesi. Hahaha