JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

If you a nicer ,kinder , Generosity you will leap the same fruits.
Life is full of complications, being good haikupi assurance ya kuwa treated better au kupata good results kutoka kwa watu

Life is all about interest, na hii ndo nguzo pekee.
Mtu ana kupenda coz ana nufaika na wewe, wewe humpendi fulani coz haunufaiki nae Poor Brain

Poor Brain ume elewa😂
 
Ahaaa ! If you want to go broke in long run just focus on interest
 
Aaah money kila mutu anayo isipokuwa kiwango gani unamaanish😁
Hiyo hiyo uliyo Sema Ina wageuza watu mad and mud.

Una jua ukiwa nje ya circle ya rupia za maana, utaona watu Wana kosea Sana baadhi ya vitu.

Ila bro, kugundua hilo ni mpaka na wewe Uzi shike ndo uta elewa.

Ni sawa na kusema ufisadi mbaya, akati wenzio Wana Jenga majumba ya maana.
 
Back
Top Bottom