JamiiForums Usiku wa manane

Aaaaagggggghhhhhrrrrr

Tuachane na hivyo vichefu chefu bana.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Samahani kwa kukuchefua...
Nilisahau kuwa wewe u mwanachama kindakindaki wa chama kile
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Samahani kwa kukuchefua...
Nilisahau kuwa wewe u mwanachama kindakindaki wa chama kile
Hapa sio sehemu yake bana ya kuzungumzia hayo mambo.

Tungekuwa kule palipo na foma za enzi za mwalimu ingekuwa bora zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…