Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kasali .pambana yapo tu05:39 lindo lime fungwa, Jobless pro max niamke Nika pambanie ugali
Hakika Mkuu, hawa watakuja kula mvua ya miaka 30 we waache tu 😜Waambie wakae kwa kutulia wajukuu bado kama mvua 4 ivi
Hakika Mkuu, hawa watakuja kula mvua ya miaka 30 we waache tu [emoji12]
Wanajifanya wajanja kurusha mawe juu ya Bati ili kuwaita....
Kitu wasichojua hata miaka ile namvizia Bibi yao ili nimwoe nilitumia mbinu hii pia [emoji119][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahahaha,Boss lady jamboKwa użee gani uliokua nao?
Huogopi hizi Mvi Mkuu 😜Kwa użee gani uliokua nao?
HahahahahaHuogopi hizi Mvi Mkuu 😜
Umesharudi Mjini Mjukuu?
Muda wa kwenda ibadani huu 🤗Hahahahaha
Mie ndio niko njiani kuelekea St PetersMuda wa kwenda ibadani huu 🤗
Hahahahaha,Boss lady jambo
Huogopi hizi Mvi Mkuu [emoji12]
Umesharudi Mjini Mjukuu?
Ngoja nami nivuke Maji nisogee hapo 🙏Mie ndio niko njiani kuelekea St Peters
Afadhali Wazee tumepata mtetezi 🤗Mvi ndo nzuri babu.
Ijumaa nitakuwepo mjini
Afadhali Wazee tumepata mtetezi [emoji847]
Nikijua arrival time yenu tu utanikuta terminal 3 pale kukusubiri [emoji847]
Hapo ndio utaamini kuwa hakuna jipya chini ya jua yote yalishafanyika.Hakika Mkuu, hawa watakuja kula mvua ya miaka 30 we waache tu 😜
Wanajifanya wajanja kurusha mawe juu ya Bati ili kuwaita....
Kitu wasichojua hata miaka ile namvizia Bibi yao ili nimwoe nilitumia mbinu hii pia 🙌🏃🏃🏃