Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Nenda kasali .pambana yapo tu05:39 lindo lime fungwa, Jobless pro max niamke Nika pambanie ugali
Hakika Mkuu, hawa watakuja kula mvua ya miaka 30 we waache tu πWaambie wakae kwa kutulia wajukuu bado kama mvua 4 ivi
Hakika Mkuu, hawa watakuja kula mvua ya miaka 30 we waache tu [emoji12]
Wanajifanya wajanja kurusha mawe juu ya Bati ili kuwaita....
Kitu wasichojua hata miaka ile namvizia Bibi yao ili nimwoe nilitumia mbinu hii pia [emoji119][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahahaha,Boss lady jamboKwa uΕΌee gani uliokua nao?
Huogopi hizi Mvi Mkuu πKwa uΕΌee gani uliokua nao?
HahahahahaHuogopi hizi Mvi Mkuu π
Umesharudi Mjini Mjukuu?
Muda wa kwenda ibadani huu π€Hahahahaha
Mie ndio niko njiani kuelekea St PetersMuda wa kwenda ibadani huu π€
Hahahahaha,Boss lady jambo
Huogopi hizi Mvi Mkuu [emoji12]
Umesharudi Mjini Mjukuu?
Ngoja nami nivuke Maji nisogee hapo πMie ndio niko njiani kuelekea St Peters
Afadhali Wazee tumepata mtetezi π€Mvi ndo nzuri babu.
Ijumaa nitakuwepo mjini
Afadhali Wazee tumepata mtetezi [emoji847]
Nikijua arrival time yenu tu utanikuta terminal 3 pale kukusubiri [emoji847]
Hapo ndio utaamini kuwa hakuna jipya chini ya jua yote yalishafanyika.Hakika Mkuu, hawa watakuja kula mvua ya miaka 30 we waache tu π
Wanajifanya wajanja kurusha mawe juu ya Bati ili kuwaita....
Kitu wasichojua hata miaka ile namvizia Bibi yao ili nimwoe nilitumia mbinu hii pia ππππ
π ulikua umelewa nn?Kuhusu kutembea na vibegi, baba Ali nambia niwa achie wauza ukwaju.
Tulikuwa na nyumba ya Bati miaka ile.Hapo ndio utaamini kuwa hakuna jipya chini ya jua yote yalishafanyika.
Ila mzee mbona kama unatupanga, miaka hiyo si ni nyumba za nyasi ukirusha jiwe hata halisikiki π
Shilingi 15 na hamkumiliki magorofa?Tulikuwa na nyumba ya Bati miaka ile.
Enzi hizo Bati Moja la gauge 28 linauzwa shilingi 15 π€
Kweli tumezeeka sasa π
Will appreciate π€Limeisha hili babu Iβll share details [emoji6]
Bahati mbaya Wazee tuliendekeza Kuoa sana, otherwise ningekuwa na ghorofa Mtaa wa Msimbazi πShilingi 15 na hamkumiliki magorofa?