JamiiForums Usiku wa manane

Hapo ndio utaamini kuwa hakuna jipya chini ya jua yote yalishafanyika.

Ila mzee mbona kama unatupanga, miaka hiyo si ni nyumba za nyasi ukirusha jiwe hata halisikiki πŸ˜‚
Tulikuwa na nyumba ya Bati miaka ile.

Enzi hizo Bati Moja la gauge 28 linauzwa shilingi 15 πŸ€—

Kweli tumezeeka sasa 😜
 
Changu bado kipo kwenye msingi Mjukuu 😜

Isingekuwa Kuoa uo Kila Mwaka saivi ningekuwa nimekamilisha Ujenzi wake πŸ€—

Nanyi Vijana msiwe kama Babu yenu, mkiendekeza kuoa hata bei ya Saruji hamtaijua
Asante sana kwa ushauri babu
 
Tena enzi zile viwanja Kariakoo ilikuwa shilingi 2,500 unapata ekari 5

Leo hii ningeitwa Babu bilionea Mimi πŸ€—πŸ™Œ

Ngoja nimwambie waiter aniletee John Walker yangu nipoze machungu 🍻😜
πŸ˜‚ dah nataka niseme kitu ila nawaza miaka 30 baadae ntakuwa najilaumu kushindwa kununua kiwanja cha milion 50, miaka hiyo kitakua 500m+
 
πŸ˜‚ dah nataka niseme kitu ila nawaza miaka 30 baadae ntakuwa najilaumu kushindwa kununua kiwanja cha milion 50, miaka hiyo kitakua 500m+
Ardhi pekee ndiyo huwa haishuki thamani

Kiwanja kinachouzwa Kigamboni 15M leo hii, baada ya miaka 20 mbele kinaweza kuuzwa 100M

Kama umri wako una ruhusu, usiache kuwekeza kwaajili ya Uzee wako

Sisi wengine tumebaki kuwategemea Wajukuu Kwa Kila jambo maana hatukujipanga enzi za Ujana wetu πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…