Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Then cool, coz Niko nasikiliza space tweeter Sasa hivi.
Silaha analala nayo bosi, mlinzi lake runguMuda wa kuchukua silaha huu
JF bila kutembea na silaha lindo haliendi kabisaSilaha analala nayo bosi, mlinzi lake rungu
Niko Napata darasa kidogo, una shughulika na kitu, Huku una elimika Kidogo
Daima yu pamoja nasiMungu ni mwema sana
Kuna majobless wana hasira za kukosa kazi 😂JF bila kutembea na silaha lindo haliendi kabisa
Kuna umuhimu mkubwa wa kumiliki nyumba yako......kuishi kwenye upangaji yahitaji wenye nguvu tu.😞