🤣umekosea sana mwanaume masikini havumiliki..,akizipata huyo ndiyo umempoteza daima cutehahaha tatizo huy mai wangu hajapat kazi za ofisin bado tunahangaika na vibarua vya juani[emoji17] nikifunga hiy miguu tutalala matumbo wazi
😳😜🤒Huyo ndio ninae Leo comrade
Bado tunajitafuta😎hahaha tatizo huy mai wangu hajapat kazi za ofisin bado tunahangaika na vibarua vya juani[emoji17] nikifunga hiy miguu tutalala matumbo wazi
🥺😂😁😁 Nipo kamili gado🤣🤓ataweza huyo?
Hahahahaha🤣umekosea sana mwanaume masikini havumiliki..,akizipata huyo ndiyo umempoteza daima cute
Hahahahaha mie pia sikuwepo ndio naona hapajiran ulikuwepo wakati nasalitiwa[emoji24] kwanin haukuniita nije kweny fumanizi jamn[emoji23]
😘😘😘😘
[emoji1787]umekosea sana mwanaume masikini havumiliki..,akizipata huyo ndiyo umempoteza daima cute
Babe usimsikilize huyu😡🤣umekosea sana mwanaume masikini havumiliki..,akizipata huyo ndiyo umempoteza daima cute
Usisahau Azuma ukitoka hapo😁Huyo ndio ninae Leo comrade
😳mbona mtamfanya awe kichaa mtoto wa watu...michepuko imroge nawe umroge....atakuwa mtu?mmmh hapa atayatimba nakwambiaa lazima nirogeee[emoji23] haiwezekani tuchumie juani wote alaf aende kivulin na mwingine hiy ni big NO[emoji23][emoji23][emoji23]
Bado tunajitafuta[emoji41]
Good. Kazia hapo hapo😳mbona mtamfanya awe kichaa mtoto wa watu...michepuko imroge nawe umroge....atakuwa mtu?
[emoji15]mbona mtamfanya awe kichaa mtoto wa watu...michepuko imroge nawe umroge....atakuwa mtu?
Kwenye bustani yangu ua 🌹 ni wewe pekee ondoa hofu mrembo wangunaelewa mchumbaa ila ukinisaliti nakufany zezeta[emoji23] siwez kukuacha kwa amani alooo
🤣🤣🤣🤣🤒mshauri abaki njia kuu la sivyo atakipat anacho kitafuta[emoji23][emoji23]
Hahahahaha duhnaelewa mchumbaa ila ukinisaliti nakufany zezeta[emoji23] siwez kukuacha kwa amani alooo
Good. Kazia hapo hapo
Hivi ishawahi kuwatokea ukampenda mtu kweli ila shida shida zako zikafanya usiaminike ukaonekana una njaa tu na si mapenzi?[emoji24]