JamiiForums Usiku wa manane

Very painful....jana nimekesha nikilia...moyo ulipasuka....sijaenda job nimeenda kwa mama yangu nikapate true love niliyoizoea from her[emoji20] lakini nashukuru imenifanya nikue zaidi.

aisee pole sana dear, hay mambo hayaelewekagi kabisaa, alf ni yanaumiza mnooo, Mungu akusaidie baby uwe saw uendelee na majukumu yako we love you sooo much
 
Ishawahi kutokea ukaumizwa na mtu ambaye moyo wako ulimwamini na huko kuumizwa siyo kupigwa ila maneno tu ambayo unahisi hukustahili kutolewa na mtu ambaye ashawahi kuambia Naku

Ishawahi kutokea ukaumizwa na mtu ambaye moyo wako ulimwamini na huko kuumizwa siyo kupigwa ila maneno tu ambayo unahisi hukustahili kutolewa na mtu ambaye ashawahi kuambia Nakupenda?
Dah!! Yatapita madam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…