Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,143
Kwenye bustani yangu ua [emoji257] ni wewe pekee ondoa hofu mrembo wangu
sawa babaa nakuamini ila usiache kumwagilia mbolea na maji ili ua lako lisisinyae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye bustani yangu ua [emoji257] ni wewe pekee ondoa hofu mrembo wangu
Pole nani huyo akuamini?Hivi ishawahi kuwatokea ukampenda mtu kweli ila shida shida zako zikafanya usiaminike ukaonekana una njaa tu na si mapenzi?😭
Hahahahaha duh
Usijali kipenzi kwa hilo tu hapa umefikasawa babaa nakuamini ila usiache kumwagilia mbolea na maji ili ua lako lisisinyae
Hahahahaha...niseme nn mie..niko km mtazamaji huru hapasema neno nafsi yangu ipone jirani[emoji23][emoji23]
Uko poa mkuu?Hamjambo hapa JF usiku wa manane...
Niko poa mkuuUko poa mkuu?
Hamjambo hapa JF usiku wa manane...
Pole sana mkuuIshawahi kutokea ukaumizwa na mtu ambaye moyo wako ulimwamini na huko kuumizwa siyo kupigwa ila maneno tu ambayo unahisi hukustahili kutolewa na mtu ambaye ashawahi kuambia Nakupenda?
Pole sanaIshawahi kutokea ukaumizwa na mtu ambaye moyo wako ulimwamini na huko kuumizwa siyo kupigwa ila maneno tu ambayo unahisi hukustahili kutolewa na mtu ambaye ashawahi kuambia Nakupenda?
Usijali kipenzi kwa hilo tu hapa umefika
Safi sana..imekaa vzrnakuaminia beiby
Very painful....jana nimekesha nikilia...moyo ulipasuka....sijaenda job nimeenda kwa mama yangu nikapate true love niliyoizoea from her[emoji20] lakini nashukuru imenifanya nikue zaidi.
Ishawahi kutokea ukaumizwa na mtu ambaye moyo wako ulimwamini na huko kuumizwa siyo kupigwa ila maneno tu ambayo unahisi hukustahili kutolewa na mtu ambaye ashawahi kuambia Naku
Dah!! Yatapita madamIshawahi kutokea ukaumizwa na mtu ambaye moyo wako ulimwamini na huko kuumizwa siyo kupigwa ila maneno tu ambayo unahisi hukustahili kutolewa na mtu ambaye ashawahi kuambia Nakupenda?
Hayana mwongozo tumalizie kwaresma achana nayo hayoNilijua sitoumia afu nikaumia eti🤣🤣🤣✌️
Nilijua sitoumia afu nikaumia eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]
Barikiwa sana ..ulale salamaHayana mwongozo tumalizie kwaresma achana nayo hayo
Safi sana..imekaa vzr